Ndoto kuhusu Mimea ya kilimo
Kama ukiota kuhusu mimea, ndoto hii inaweza kuashiria jambo jema kama ukiota kuwa unakula mimea hiyo. Lakini itaashiria migogoro na taabu kama ukiota kwamba unavuna mimea hiyo.
Kama ukiota kuhusu mimea, ndoto hii inaweza kuashiria jambo jema kama ukiota kuwa unakula mimea hiyo. Lakini itaashiria migogoro na taabu kama ukiota kwamba unavuna mimea hiyo.
Kama ukiota kuhusu pochi yako, na ukaona kwamba imejaa pesa, ndoto hii inaweza kuashiria kuwa hivi punde unaweza kupata utajiri mkubwa. Kama ukiota kwamba pochi yako ni tupu, kuwa makini kwani kuna mtu anaweza kuwa anajaribu kukulaghai. Kama ukiota kwamba umepoteza pochi yako, basi hivi karibuni unaweza ukapoteza mawasiliano na marafiki au ndugu zako.
Kama ukiota kuhusu mtoto, na wewe ni bikira, unaweza kushawishika kulala na mtu asiyestahili. Kama ukiona mtoto kwenye ndoto zako, na mtoto huyo amelala juu ya magoti yake, basi unaweza kupata mgeni hivi karibuni. Kama ukiota kwamba mtoto amejinyea ukiwa umembeba, hili huoneakana kuwa jambo jema ikiwa kama kinyesi cha mtoto huyo hakitakuchafua.
Kama ukiota kuwa mtoto anayejifunza kutembea amelala huku akiwa amepiga magoti, ndoto hii inaweza kuashiria kwamba utapata mgeni hivi karibuni. Kama mtoto anayejifunza kutembea akijikojolea ama kujinyea huku ukiwa umembeba, hilo linaweza kuashiria bahati njema kama mtoto huyo hatakuchafua, na bahati mbaya kama akikuchafua. Kama ukiota kwamba mtu uliyempenda amekuletea mtoto wako, hilo linaweza kumaanisha …
Kama ukiota kwamba una maumivu ya kichwa, ndoto hiyo huashiria kwamba unapaswa kuwaepuka marafiki zako pindi utakapohitaji kufanya maamuzi. Hili ni ili ufanye maamuzi sahihi bila kushinikizwa nao kufanya makosa.
Kama ukiota kwamba miguu yako ina sugu na uvimbe, ndoto hii inaweza kumaanisha kuwa utatajirika hivi punde. Kama ukiota kuwa mguu wako umekatwa, ndoto hii inaweza kuashiria kuwa unaweza kupoteza kitu cha muhimu kwako siku za hivi karibuni. Kama ukiota kwamba umevaa mguu wa bandia, ndoto hii humaanisha kuwa hali yako itazidi kuwa mbaya siku …
Kama ukiota kuhusu kuku, ndoto hii inaweza kuashiria mambo mema kwako ilmradi tu kuku huyo asiwe na vifaranga pamoja nae. Ndoto inayohusu kuku asiye na vifaranga inaweza kuashiria furaha na mafanikio. Hata hivyo, ndoto ihusuyo kuku mwenye vifaranga huashiria bahati mbaya, hali ya kukataliwa, na hasara, hasa kwenye suala la mapenzi au kazini. Ukiota kuku …
Kama ukiota kwamba unachora kitu fulani, hili humaanisha kuwa unaweza kuwa msanii siku moja. Hata hivyo, kama ukiota kuwa unapaka rangi au unachora picha ya rangi, hii ni ishara mbaya, kwani familia yako inaweza kukumbwa na umaskini siku zijazo. Ukiota unaandika barua ama taarifa fulani, basi ndoto hiyo huashiria kwamba kuna ujumbe unaopaswa kupata kutoka …
Kama ukiota kuhusu bunduki, ndoto hii inaweza kuashiria kwamba kuna shida fulani inayokujia. Kama ukisikia mlio wa bunduki hiyo, basi unaweza kupatwa na ugonjwa ama mgogoro maishani mwako siku za hivi karibuni. Kama wewe ndiye unayefyatua bunduki hiyo, basi ndoto hii inaweza kuashiria jambo baya zaidi. Ukiota umebeba bunduki ya uwindaji, ndoto hiyo humaanisha kwamba …
Kama ukiota kuhusu mayai, ndoto hii inaweza kumaanisha kwamba utafanikiwa kazini au shuleni. Hata hivyo, kama mayai hayo yameoza, ndoto hii inaweza kuashiria matatizo maishani mwako. Kama mayai hayo yako katika hali nzuri, basi unaweza ukafanikiwa katika mipango yako. Ukiota mayai mengi yako nyumbani mwako au kazini kwako, ndoto hiyo itaashiria kwamba utapata mafanikio kwenye …