Ndoto kuhusu Watoto
Kama ukiota kuhusu mtoto, ndoto hii inaweza kumaanisha kwamba wewe ama mwenzi wako atapata mtoto hivi karibuni. Kama teyari una ujauzito, hii ni ishara njema kuhusu kujifungua kwako. Kama ukiota kuhusu watoto wengi, basi unaweza kupata mafanikio makubwa kazini na kwenye maisha yako.