Kama ukiota kwamba miguu yako ina sugu na uvimbe, ndoto hii inaweza kumaanisha kuwa utatajirika hivi punde. Kama ukiota kuwa mguu wako umekatwa, ndoto hii inaweza kuashiria kuwa unaweza kupoteza kitu cha muhimu kwako siku za hivi karibuni. Kama ukiota kwamba umevaa mguu wa bandia, ndoto hii humaanisha kuwa hali yako itazidi kuwa mbaya siku zijazo.