Ndoto kuhusu kuku
Kama ukiota kuhusu kuku, ndoto hii inaweza kuashiria mambo mema kwako ilmradi tu kuku huyo asiwe na vifaranga pamoja nae. Ndoto inayohusu kuku asiye na vifaranga inaweza kuashiria furaha na mafanikio. Hata hivyo, ndoto ihusuyo kuku mwenye vifaranga huashiria bahati mbaya, hali ya kukataliwa, na hasara, hasa kwenye suala la mapenzi au kazini. Ukiota kuku …