Ndoto kuhusu bunduki
Kama ukiota kuhusu bunduki, ndoto hii inaweza kuashiria kwamba kuna shida fulani inayokujia. Kama ukisikia mlio wa bunduki hiyo, basi unaweza kupatwa na ugonjwa ama mgogoro maishani mwako siku za hivi karibuni. Kama wewe ndiye unayefyatua bunduki hiyo, basi ndoto hii inaweza kuashiria jambo baya zaidi. Ukiota umebeba bunduki ya uwindaji, ndoto hiyo humaanisha kwamba …