Ndoto kuhusu Pochi

Kama ukiota kuhusu pochi yako, na ukaona kwamba imejaa pesa, ndoto hii inaweza kuashiria kuwa hivi punde unaweza kupata utajiri mkubwa. Kama ukiota kwamba pochi yako ni tupu, kuwa makini kwani kuna mtu anaweza kuwa anajaribu kukulaghai. Kama ukiota kwamba umepoteza pochi yako, basi hivi karibuni unaweza ukapoteza mawasiliano na marafiki au ndugu zako.