Ndoto kuhusu ujauzito / mimba
Ndoto zinazoashiria mimba/ujauzito: Baadhi ya watu wanaweza kuota ndoto kuhusu ujauzito wao wenyewe, hata hivyo mara nyingi ni mtu mwengine ndiye huota ndoto kuhusiana na ujauzito wako. Majukumu na Baraka za Mababu Zipo ndoto ambazo, ingawa unajijua na watu wengine wanafahamu kwamba u mjamzito, mtu wa makamo kwenye familia yako anaweza kuoteshwa kuhusiana na jinsia …