Ndoto kuhusu kupigana

Kama ukiota kuhusu kumpiga mtu, unaweza kukumbana na aibu maishani mwako siku za hivi karibuni, ama unaweza kuingia kwenye mahusiano mabovu. Kama mtu mwingine anakupiga na unajihami tu bila kumshambulia mtu huyo, basi unaweza kupatwa na aibu hivi karibuni kwani kuna mtu anakusema vibaya. Kupigana katika ndoto kunaweza kuashiria mashambulizi anayopitia mtu iwe katika ndoa …

Soma zaidi