Ndoto kuhusu Kucha

Kama ukiota kuhusu kucha zako, maana ya ndoto hiyo hutegemea kama kucha hizo ni ndefu au fupi. Kama ukiota kuhusu kucha ndefu, ndoto hiyo huashiria bahati njema na huweza kumaanisha kwamba utapata utajiri siku zijazo. Ni jambo jema zaidi kuota kwamba mume au mke wako ana kucha ndefu, kwani hilo huweza kumaanisha kuwa mume au …

Soma zaidi