Ndoto kuhusu Kifo
Kama ukiota kwamba umefariki, kwa kawaida hili humaanisha kwamba utapata bahati njema hivi karibuni. Unaweza kuoa/kuolewa na mtu tajiri ama kupata mahusiano mazuri kama ikiwa hauna mpenzi.
Kama ukiota kwamba umefariki, kwa kawaida hili humaanisha kwamba utapata bahati njema hivi karibuni. Unaweza kuoa/kuolewa na mtu tajiri ama kupata mahusiano mazuri kama ikiwa hauna mpenzi.
Ndoto zinazohusu kifo zinaweza kuashiria mauti halisi ama zisiashirie kabisa roho ya mauti. Mauti inayozungumziwa kwenye ndoto si lazima iwe mauti ya kimwili. Inaweza kuwa mauti ya kiroho, mauti ya kiuchumi, mauti ya kifikra, mauti ya mahusiano n.k. Ukiota kwamba ndugu au jamaa yako amefariki, ndoto hii inaweza kuashiria kwamba unapitia shambulizi fulani la kiroho. …