Ndoto kuhusu chakula
Kuota kuhusu chakula kunaweza kuwa na maana nyingi kutegemeana na kile unachokifanya na chakula hiko. Kununua chakula Ukiota kwamba unanunua chakula, ndoto hii inaweza kumaanisha kuwa utapokea kitu fulani hivi karibuni, hasa kama chakula hiko kimepikwa ama ni chakula cha kubebeka (takeaway). Kula chakula Watu wengi wanaamini kwamba, kula chakula ama kulishwa chakula katika ndoto …