Kuota kwamba unamuona mchawi akifanya uchawi dhidi yako kunaweza kuwa ishara njema ya kwamba utapatwa na bahati njema siku zijazo. Hata hivyo, ndoto hii inaweza pia kuashiria jambo baya kwani inaweza kumaanisha kuwa mtu huyo anayekufanyia uchawi hakutakii mema. Kuota kuhusu kufanyiwa uchawi na mtu unayemfahamu kunaweza kumaanisha kuwa kutatokea ugomvi kati yako na huyo mtu, na kwamba hauwezi kumuamini mtu huyo.
Kama ukimuota mtu akifanya uchawi ndoto hii inaweza kuashiria kwamba mtu wa karibu yako anakuroga, wakati mwingine ndoto hii inaweza pia kumaanisha kuwa Mungu anakufichulia adui yako ili uweze kumtambua.