Ndoto kuhusu Mwezi

Kama ukiota kuhusu mwezi, ndoto hiyo inaweza kuashiria kwamba utafanikiwa katika wakati usiotarajia – hasa kwenye suala la mapenzi. Hata hivyo, kama mwezi huo ukiingia giza, hilo linaweza kuashiria kwamba utateseka na utakuwa maskini. Kuona mbalamwezi katika ndoto huashiria kwamba utaolewa mapema ikiwa kama una umri mdogo, na huashiria kuwa utapata watoto wazuri ikiwa kama umri wako umekwishasonga. Kuona zaidi ya mwezi mmoja angani kwenye ndoto, huaminiwa kuwa ishara ya jambo baya sana.

Leave a Reply