Ndoto kuhusu Dhoruba/Tufani

Kama ukiota kuhusu dhoruba/tufani, ndoto hiyo inaweza kuashiria jambo baya siku zako zijazo, na utapaswa kuwa makini. Kama ukiota kuhusu dhoruba na radi kali, ndoto hii inaweza kuashiria kwamba kutatokea mabadiliko fulani kwenye maisha mwako. Unaweza ukafanikiwa kazini, lakini unaweza pia ukakutana na mambo usiyotarajia, kutokana na vitendo vyako. Kuota kuhusu kupigwa na radi ni ndoto ionekanayo kuashiria jambo la bahati nzuri sana.

Leave a Reply