Ndoto kuhusu Bibi Harusi, Bwana Harusi, Mpambe wa Bibi Harusi

Kama ukiota kwamba wewe ni bibi harusi, bwana harusi ama mpambe wa bibi harusi, ndoto hii inaweza kuashiria bahati mbaya na kwamba utakutana na huzuni na machozi siku za hivi karibuni. Unaweza pia kugombana na mwenzi wako na mahusiano hayo hayatadumu.

Leave a Reply