Ndoto kuhusu Wizi

Kama ukiota kwamba kuna mtu anakuibia, ni ndoto nzuri ikiwa kama mtu huyo hatakuumiza, na ni nzuri zaidi kama ukiweza kumkamata mwizi huyo kwani hilo humaanisha kuwa kuna jambo litakupatia umaarufu mkubwa. Kama ukimuona tu mwizi akikimbia mbele yako kwenye ndoto, hili humaanisha kwamba unapaswa kuwa makini kwani unaweza kukutana na mtu asiye mwaminifu hivi …

Soma zaidi