Ndoto kuhusu Mtu Maarufu

Kuota kuhusu mtu maarufu kunaweza kumaanisha kwamba mambo yako yatakuwa sawa, utaweza kupata kile unachokitamani bila shida yoyote. Kuota kwamba unasalimiana na mtu maarufu kwa kumpatia mkono, ndoto hii inaweza kuashiria kuwa unapandishwa hadhi/cheo, utakupata starehe, utafahamika vyema, utapata milki ama heshima mpya na utafanya vyema kwenye ajira yako. Kuota kwamba unaoa/unaolewa na mtu maarufu …

Soma zaidi