Ndoto kuhusu Uhalifu
Kuota kwamba nyumba yako imevamiwa lakini hakuna chochote kilichochukuliwa kunaweza kumaanisha kwamba una nguvu nyingi kuwazidi maadui zako. Lakini kama ukiwaona wavamizi hao na kama baadhi ya vitu vyako vikichukuliwa, hili huashiria kwamba wewe ni dhaifu, watu hukufanyia vyovyote vile wapendavyo. Unahitaji kutafuta namna ya kujilinda na kuimarisha nyumba yako. Wizi wa Gari Kuota kwamba …