Ndoto kuhusu polisi
Kama ukiota kuhusu polisi ama jeshi, ndoto hii inaweza kuashiria kwamba kuna jambo baya liko njiani kutokea. Ndoto zihusuzo polisi au wanajeshi hutafsiriwa na baadhi ya watu kama kuashiria ulinzi kwenye maisha ya watu hao. Hata hivyo, wengine huamini kwamba polisi au wanajeshi hao katika ndoto huashiria vita vinavyofanyika dhidi yao maishani.