Ndoto kuhusu Mazishi
Kama ukiota kwamba upo kwenye mazishi ya ndugu yako, ndoto hii inaweza kuashiria kwamba kuna mtu kwenye familia yako ataumwa ama atafariki hivi karibuni. Hata hivyo, ndoto hii inaweza kumaanisha kwamba utakuwa na maisha marefu.