Ndoto kuhusu Soko na Maduka
Kama ukiota kuhusu soko ama maduka, ndoto hiyo inaweza kuashiria bahati njema siku zako zijazo. Ndoto hii inaweza hata kuashiria jambo jema zaidi pale inapootwa na watu waliopo kwenye ndoa ama watu wanaouza vitu madukani.