Ndoto kuhusu Majeneza

Kama ukiota kwamba unatizama jeneza, ndoto hii inaweza kuashiria kwamba kuna mtu unayemfahamu anahitaji msaada. Ukiota kuhusu jeneza, ndoto hii inaweza pia kumaanisha kwamba mtu unayemfahamu atapatwa na ugonjwa ama atafariki. Aidha, kuota kuhusu jeneza kunaweza pia kumaanisha kwamba ni wasaa sasa wa kuhitimisha mahusiano yasiyo na manufaa kwako. Jeneza Lililofunikwa Kama ukiota kuhusu jeneza …

Soma zaidi