Ndoto kuhusu Kutiwa Mbaroni

Kama ukiota kwamba umekamatwa/umetiwa mbaroni, ndoto hii inaweza kuashiria kwamba siku moha utakuwa maarufu kutokana na kile unachokifanya ama kwamba utapata mafanikio makubwa kazini.