Ndoto kuhusu Kupoteza/Kushindwa
Kama ukiota kwamba umepoteza ushindi kwenye shindano, hili humaanisha kuwa kuna mambo mema yanayokujia – hasa hasa fedha. Hata hivyo si vile unavyotarajia, hivyo hakikisha unajiandaa kupokea jambo hilo vyovyote litakavyokujia.