Ndoto kuhusu Kupata na Kutoa Ushauri

Kama ukiota kwamba unampatia mtu fulani ushauri, ndoto hii inaweza kuashiria kuwa kuna shida inayokujia. Hata hivyo, ikiwa kama ukiota kuwa unamsikiliza mtu fulani akiwa anakupatia ushauri, ndoto hii inaweza kuashiria kuwa wewe ni mtu mkweli na mwaminifu.