Ndoto kuhusu nywele 

Kama ukiota kuhusu nywele zako, ndoto hiyo inaweza kumaanisha mambo kedekede. Kama ukiota nywele zako tu, ndoto hii inaweza kuashiria kwamba utampenda mtu siku za hivi karibuni lakini mtu huyo huenda teyari anampenda mtu mwingine.  Mabadiliko na Mitindo ya Nywele Kama ukiota kwamba unachana nywele zako, ndoto hiyo inaweza kumaanisha kuwa utapoteza kitu muhimu. Ukiota …

Soma zaidi