Ndoto kuhusu Kuchonga Sanamu
Kama ukiota kwamba unachonga sanamu, hili humaanisha kuwa utaoa/utaolewa ukiwa na umri mdogo na utazaa watoto wengi. Kama teyari umekwishaoa/umekwishaolewa, ndoto hii inaweza kumaanisha kuwa utapata mafanikio kazini kwako.