Ndoto kuhusu Fisi
Kama ukiota kuhusu fisi, kwa kawaida ndoto hii humaanisha kwamba kuna hatari itakayoibuka siku zako zijazo. Kama ukiota kuwa umemuwinda na kumuuwa fisi, ndoto hii inaweza kuashiria kuwa utagombana na watu unaowapenda.