Ndoto kuhusu Chupa
Kama ukiota kuhusu chupa, kwa kawaida ndoto hii huashiria jambo baya. Kama chupa hiyo ni tupu, au kama unakunywa kitu kutoka kwenye chupa hiyo, basi ndoto hii inaweza kuashiria kwamba utaingia matatizoni hivi karibuni na kupatwa na aibu na dhihaka. Hata hivyo, kama chupa hiyo imejaa, hilolinaweza kuashiria kwamba utapata bahati njema.